TandaleOne JF-Expert Member Sep 4, 2010 1,644 709 Nov 28, 2012 #1 Structure mpya ya Muhimbili eneo la Mloganzila. Bofya link: Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Gang Chomba JF-Expert Member Feb 29, 2008 20,301 4,681 Nov 28, 2012 #2 eneo hilo liko kibamba na sio kibaha. Pia hii habari yako kaitupe jukwaa la afya, hapa ni siasa tu... Usikurupuke
eneo hilo liko kibamba na sio kibaha. Pia hii habari yako kaitupe jukwaa la afya, hapa ni siasa tu... Usikurupuke
Kashaijabutege JF-Expert Member Oct 20, 2010 2,696 740 Nov 28, 2012 #3 Mbona picha hii niliiona mwaka jana? Wewe unasubiri habari itolewe na Daily News au Habari Leo?
KIJOME JF-Expert Member Jun 7, 2012 3,084 732 Nov 28, 2012 #5 Gang Chomba said: eneo hilo liko kibamba na sio kibaha. Pia hii habari yako kaitupe jukwaa la afya, hapa ni siasa tu... Usikurupuke Click to expand... Hata wewe umekurupuka mkuu,hapa sio jukwaa la siasa ni habari mchanganyiko.... kuwa makini next time.
Gang Chomba said: eneo hilo liko kibamba na sio kibaha. Pia hii habari yako kaitupe jukwaa la afya, hapa ni siasa tu... Usikurupuke Click to expand... Hata wewe umekurupuka mkuu,hapa sio jukwaa la siasa ni habari mchanganyiko.... kuwa makini next time.
Gang Chomba JF-Expert Member Feb 29, 2008 20,301 4,681 Nov 28, 2012 #6 KIJOME said: Hata wewe umekurupuka mkuu,hapa sio jukwaa la siasa ni habari mchanganyiko.... kuwa makini next time. Click to expand... mi huwa sikurupuki kama mwandishi wa thread hii. Hii habari imekuwa moved. Mwanzo alienda kuibandika jukwaa la Siasa na ndio maana nikamtimua kule. Umenielewa?
KIJOME said: Hata wewe umekurupuka mkuu,hapa sio jukwaa la siasa ni habari mchanganyiko.... kuwa makini next time. Click to expand... mi huwa sikurupuki kama mwandishi wa thread hii. Hii habari imekuwa moved. Mwanzo alienda kuibandika jukwaa la Siasa na ndio maana nikamtimua kule. Umenielewa?
M mwimbule JF-Expert Member Feb 25, 2009 585 288 Nov 28, 2012 #7 Tunasubiri yajengwe. Nafikili safari hii hakutakuwa na ten %.