Tazama Ramani ya Mjengo mpya wa Muhimbili Kibaha Mloganzila

TandaleOne

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
1,644
709
Structure mpya ya Muhimbili eneo la Mloganzila. Bofya link:

Last edited by a moderator:
eneo hilo liko kibamba na sio kibaha.
Pia hii habari yako kaitupe jukwaa la afya, hapa ni siasa tu...

Usikurupuke
 
Mbona picha hii niliiona mwaka jana? Wewe unasubiri habari itolewe na Daily News au Habari Leo?
 
eneo hilo liko kibamba na sio kibaha.
Pia hii habari yako kaitupe jukwaa la afya, hapa ni siasa tu...

Usikurupuke

Hata wewe umekurupuka mkuu,hapa sio jukwaa la siasa ni habari mchanganyiko....
kuwa makini next time.
 
Hata wewe umekurupuka mkuu,hapa sio jukwaa la siasa ni habari mchanganyiko....
kuwa makini next time.

mi huwa sikurupuki kama mwandishi wa thread hii.
Hii habari imekuwa moved.
Mwanzo alienda kuibandika jukwaa la Siasa na ndio maana nikamtimua kule.

Umenielewa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom