Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 847
Kwa watu wa UK basi nashauri mtazame parliament channel now kwani House of Lords wanazungumzia Kenya debate na wamekuwa wanagusia kuhusu Tanzania
Not sure kama mtu unaweza kutazama hii channel online lakini kama kuna mtu ano uwezo wa kupost link then it should be cool wale ambao hawako Uk at the moment
thats a heads up!
Not sure kama mtu unaweza kutazama hii channel online lakini kama kuna mtu ano uwezo wa kupost link then it should be cool wale ambao hawako Uk at the moment
thats a heads up!