Tazama mazingira ya shule kumi bora Tanzania mwaka 2021

Mchagua jembe si mkulima! Lakini sijawahi kuona mkulima anaelimia Rungu!

Mchagua uchi si mfanya mapenzi lakini asikwambie mtu kuna watu wana mialamala!!! UTACHEMKA TU UTAKE USITAKE

Kuna kijiji kimoja watoto wanaenda shule na mtumbwi na kurudi na ngarawa!
 
Kama mazingira ya utulivu yanachangia tuwakodishie wanafunzi jengo la slipway pale au Ramada warudie pepa tuone kama watatoka na hizo Division 1 kama zilivyo!

Walimu na wasimamizi watoke shule tofauti na yao lets say baobab tu. Wapewe pepa nyengine tu halafu uone kama ishu ni mazingira ama ipo namna😆
 
O level, private schools wapo mbali sana

Unaweza kuta hiyo mzumbe imewekwa ili kubalance mizani tu, angalau iwepo ata shule ya serikali
mzani mbona bado hata hivyo mzumbe haitoshi peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…