Tazama Live stream, sayari ya mercury ikipita mbele ya uso wa jua leo 9May kuanzia saa 9 mchana

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758
Kama tunavyoshuhudiaga kupatwa kwa jua, siku mwezi ukiwa katikati ya jua nadunia. leo wanasayansi wataonyesha kwenye internet live, mercury ikipita katikati ya jua na dunia, ila kwakua ka mercury ni kadogo sana hakawezi kuleta kivuli duniani, ila ukiwa na vifaa maalum waweza ona live.

Mercury-to-pass-between-Earth-and-Sun.jpg



Transit_of_Mercury_May_9_2016_path_across_sun.png


Ilishatokea 2006, mpaka leo ni miaka 10, kwahiyo usipoona leo ni mpaka 2026.
Just search live mercury transit

Watch LIVE as Mercury passes between Earth and the Sun
 
Mie sasa hivi nipo busy sitapata muda huo wa kuona, so acha nisubiri tu mpaka 2026 inshaallah maana hakuna namna sasa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom