Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Ama kweli we ni mwana siasa, kutaja tu chama mpaka uimbe taarabu!? kazi unayo!Nimepata chama cha siasa cha kujiunga nacho. Chama chenye Katiba,Kanuni na Taratibu zinazovutia kuzifuata.Chama chenye viongozi shupavu na uongozi wa kuthubutu. Chama chenye sifa ya kuwa msemaji wa mtanzania na mtetezi wao wote. Chama kinachojali uwezo,weledi na uzalendo.
Nilichukua muda mrefu kujisomea katiba za vyama mbalimbali. Kufuatilia yanayoendelea vyamani. Mikutano mbalimbali nilihudhuria. Kimsingi, nilitafiti vya kutosha. Nililenga kupata chama cha kujiunga nacho ambacho nafanana nacho. Nimekipata. Nitajiunga mapema mwezi wa nne. Na nitakitumikia kwa utii na ubunifu. Kwa kufuata taratibu zilizopo.
Ee Mwenyezi Mungu asante kwa kunionesha chama cha maisha yangu. Niongoze sasa nitimize malengo yangu kupitia chama hicho. Kwa mwelewa,ni rahisi kujua ni chama gani.Kipo kimoja tu Tanzania chenye sifa hizo. Nitaweka hapa kadi yangu nitakapojiunga rasmi.
Mkuu,chama kipo tayari na kimeshasajiliwa.Siwezi kujiunga na ambacho hakipoAlliance for Cowards and Traitors.....ndio kitakuwa tayari April..........
Ama kweli we ni mwana siasa, kutaja tu chama mpaka uimbe taarabu!? kazi unayo!
Ungenijua usingesema hivyo Mkuuhahahahah, nimecheka sana, huyu bwn kwa haraka haraka ni muoga sana, sina shaka atakuwa ni gamba ila anasoma alama za nyakati upepo uko vipi, kuwa kamanda siyo lelemama, unatakiwa jasiri kama simba
si unajua sasa kuna wapiga propaganda mitandaoni kibao, dizaini ya huyu jamaa, kama kutangaza kujiunga na chama unachukua wiki nzima, kuwavua gamba mfisadi si utachukua miaka elfu moja...naililia sana hii nchi, nanaione huruma jinsi ilivyo na watu wenye akili fui kiasi hiki, hivi huu kweli ni wakati wa kuchisifia umechagua chama kwa mbwem,bwe za kike!hahahahah, nimecheka sana, huyu bwn kwa haraka haraka ni muoga sana, sina shaka atakuwa ni gamba ila anasoma alama za nyakati upepo uko vipi, kuwa kamanda siyo lelemama, unatakiwa jasiri kama simba
Nimepata chama cha siasa cha kujiunga nacho. Chama chenye Katiba,Kanuni na Taratibu zinazovutia kuzifuata.Chama chenye viongozi shupavu na uongozi wa kuthubutu. Chama chenye sifa ya kuwa msemaji wa mtanzania na mtetezi wao wote. Chama kinachojali uwezo,weledi na uzalendo.
Nilichukua muda mrefu kujisomea katiba za vyama mbalimbali. Kufuatilia yanayoendelea vyamani. Mikutano mbalimbali nilihudhuria. Kimsingi, nilitafiti vya kutosha. Nililenga kupata chama cha kujiunga nacho ambacho nafanana nacho. Nimekipata. Nitajiunga mapema mwezi wa nne. Na nitakitumikia kwa utii na ubunifu. Kwa kufuata taratibu zilizopo.
Ee Mwenyezi Mungu asante kwa kunionesha chama cha maisha yangu. Niongoze sasa nitimize malengo yangu kupitia chama hicho. Kwa mwelewa,ni rahisi kujua ni chama gani.Kipo kimoja tu Tanzania chenye sifa hizo. Nitaweka hapa kadi yangu nitakapojiunga rasmi.
Na wenzako walisema hivyo hivyo walivyoiunga lakini sasa wanasema opposite!
Wewe jiunge tu hizo ngonjera nyingine achana nazo.
Tambwe Hizza alisema akihama CUF atamzini mama yake! Unajua alipo leo?
Ungenijua usingesema hivyo Mkuu
si unajua sasa kuna wapiga propaganda mitandaoni kibao, dizaini ya huyu jamaa, kama kutangaza kujiunga na chama unachukua wiki nzima, kuwavua gamba mfisadi si utachukua miaka elfu moja...naililia sana hii nchi, nanaione huruma jinsi ilivyo na watu wenye akili fui kiasi hiki, hivi huu kweli ni wakati wa kuchisifia umechagua chama kwa mbwem,bwe za kike!