TIN ni bure, na unaipata TRA popote. Unachotakiwa kuwa nacho ni copy ya kitambulisho chochote, mfano Passpot/ kitambulisho cha mpiga kura /leseni ya uderevana vingine, japo watakuuliza kuwa unaitaka kwa ajili ya nini?. Na kama hapo ulipoenda ofisi za TRA hakuna foleni haizidi nusu saa unakuwa umepata.