simba wa dodoma
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 925
- 1,010
Ukiona wi gu ni dalili ya mvua, serikali iangalie Bei wanazotoa hao uber au taxify wamezipata wapi ,sumatra au jiji, umweli lazima uwe ukweli kabla ya kulaumu Tafuta abiria mwenye kagari kake atoke kariakoo mpaka kimara na awashe AC aweke mafuta ya elfu20na kifoleni aone kama atafika ubNaona watu wa uber mko kazini mm napanda snaa taxify sijaona tabu hio lbda tu tabu kubwa ni madereva hawajui kusoma map mpka umeuelekeze. Issue ya bei kupanda ninavojua wanakualert kama kuna price surge kbla hujarequest.
Naona watu wa uber mko kazini mm napanda snaa taxify sijaona tabu hio lbda tu tabu kubwa ni madereva hawajui kusoma map mpka umeuelekeze. Issue ya bei kupanda ninavojua wanakualert kama kuna price surge kbla hujarequest.
Sijaelewa mkuu unasema mafuta ya 20 kwenye kagari kutoka kkoo kwenda kimara hayafiki ubungo?Ukiona wi gu ni dalili ya mvua, serikali iangalie Bei wanazotoa hao uber au taxify wamezipata wapi ,sumatra au jiji, umweli lazima uwe ukweli kabla ya kulaumu Tafuta abiria mwenye kagari kake atoke kariakoo mpaka kimara na awashe AC aweke mafuta ya elfu20na kifoleni aone kama atafika ub
Sijaelewa mkuu unasema mafuta ya 20 kwenye kagari kutoka kkoo kwenda kimara hayafiki ubungo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Mkuu inaonekana Hajawahi , na hamiliki garikagari means passo,ist,vits, spacio vyote hvyo mafuta ya elfu 20 unaenda Bagamoyo na kurudi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Acha porojo,mafuta ya 20,000 hata Crown Athlete unaenda Kimara-Kariakoo na foleni yoyote ile. Uber na Taxify wanatumia IST ambazo Lita 1 inaenda hata 15km mafuta ya 20,000 ni Lita 8 piga hesabu.Ukiona wi gu ni dalili ya mvua, serikali iangalie Bei wanazotoa hao uber au taxify wamezipata wapi ,sumatra au jiji, umweli lazima uwe ukweli kabla ya kulaumu Tafuta abiria mwenye kagari kake atoke kariakoo mpaka kimara na awashe AC aweke mafuta ya elfu20na kifoleni aone kama atafika ub
Nshafanyiwa hivi na dereva uber.Hahaha, kuna mtu alishaonesha jinsi wanavyopiga kwenye issue za maps. Ukipanda simu inawekwa kwenye low battery mode, ukifika mwisho wa safari anawasha na kukupigia mahesabu. Unajikuta gharama imeenda mara kadhaa kwa sababu inapiga zigzag.
Nshafanyiwa hivi na dereva uber.
Tuligombana usiku mzima. Na nilimpa hela iloonekana mwanzo.
Nikamwambia kama nimekuonea kalalamike Uber ili wao wanitafute.
Haiwezekani mwanzoni projection isome 9000 halafu mwisho wa safari ije 24,000.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nshafanyiwa hivi na dereva uber.
Tuligombana usiku mzima. Na nilimpa hela iloonekana mwanzo.
Nikamwambia kama nimekuonea kalalamike Uber ili wao wanitafute.
Haiwezekani mwanzoni projection isome 9000 halafu mwisho wa safari ije 24,000.
Sent using Jamii Forums mobile app