simba wa dodoma
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 925
- 1,009
mambo vipi wana jamvi mimi nimekua nikitumia hii app ya taxify kwa ajiri ya safari zangu mara kwanza walianza vizuri lakini kipindi hiki wamekua matapeli sana
kwanza kampuni gani aina address phone no mnawasiliana kwenye email tu yaani ukitokea umepigwa kuwapata issue jua hela yako umeliwa na hata mzigo wako
pili sasa hivi wanaiba kama unataka uanze safari mfano unatoka manzese unaenda kimara pesa itakuja 4000 mpaka 5000 ila mwisho wa safari ngoma unapigwa 12000 au 20000 ni safari ya kwenye moro au dodoma na dreva wao wakali kweli ukitaka kuwasiliana nao hawana no ni wa email tu
tatu madreva wa wanatumia huu usafiri wengi wao wanalalamika kua bonasi zao hawapewi ikitokea wakifatilia wanaaambia bonasi imefuta bado na kila siku deni haliishi
mamlaka husika fatilieni hii issue watanzania wanatapeliwa bora kufuta kabisa hii imenikuata kama mara mbili hivi
nime attached na baadhi ya watu wakitoa malalamiko kwenye page yao alau kwa jeuri hawajibu wakati makampuni mengine kwenye malalamiko wako active kukujibu
Sent using Jamii Forums mobile app