Tax to MP's and Cabinet Members! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tax to MP's and Cabinet Members!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Plotinus, Feb 15, 2009.

 1. P

  Plotinus Member

  #1
  Feb 15, 2009
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Just a quick question: "Hivi Wabunge na Cabinet members in Tanzania, wanalipa kodi kutoka kwenye mishahara na marurupu (allowances) yao?"
   
 2. M

  Maskini Mimi Member

  #2
  Feb 15, 2009
  Joined: Jun 25, 2008
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  As far as i know the MPs are exempted from taxation on gratuity - this is based on Income Tax Act, 2004 (ITA 04).

  According to old ITA 1973, all resident employees were exempted to half of gratuity payable - this included MPs also as they are expected to be resident!

  It is surprising to note that no consideration was given to FAIRNESS to all the taxpayers. This is unacceptable, wamepitisha sheria inayowalinda.

  Kwenye vikao vya NBAA (bodi ya wahasibu TZ) tuliizungumzia hilo suala kwamba wabunge watizamwe kama walipa kodi wengine na wasiopate undue advantage!

  Sheria inasamehe kodi kwenye gratuity anayolipwa mbunge!
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kufuatana na sheria za kodi, wabunge/Mawaziri wanatakiwa kulipa kodi kutoka kny mishahara yao na hata marupurupu kama ilivyoainishwa katika kifungu cha 7 cha Sheria ya Kodi ya Mwaka 2004 (ITA 2004). Isipokuwa kwa mbuge huyo akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano au wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hawa hawatakiwi kulipa kodi kutokana na mapato yatokanayo na government funds (S.10, First Schedule s.1(a) of ITA 2004).

  Hata hivyo, kama alivyosema Masikini hapo juu, wabunge/mawaziri nao wamesamehewa kodi kwenye Gratuity ambayo hulipwa mwishoni mwa kipindi cha ubunge in lumpsum i.e baada ya miaka mitano (nafikiri sahivi amount ni Tshs 25,000,000 sina uhakika na amount hii). Kwahiyo kama wanafuata sheria, wanatakiwa kulipa kodi kama mwajiriwa yeyote yule, ila sinauhakika kama wanacomply na hili.
   
Loading...