IlangiKwetu
Member
- Oct 9, 2014
- 85
- 33
Habari wadau,
Mwaka wa fedha 2015-16 sheria mpya inaleta tax table mpya ya kukotoa kodi ya mapato (PAYE) mwenye nayo anisaidie tafadhali kabla hautajaabika mwezi huu.
Naombeni wadau maake kuna mabadiliko mengi kuanzia kiwango cha kukata pamoja na asilimia ya kutumia.
Ahsante.