Tax haven: What does it mean to third world countries: why most large investment firms are incorporated in the so calld tax haven states?

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,193
5,129
Karibuni wa Tanzania (and Africans) tujadili hii issue inayokula hela zetu bure bure kwa kupitia mgongo wa ICSID (international centre of settlement of investment disputes).

maana sijui kwa vigezo gani tuuu African states's resources are deprived of their resources through , this issue of investment contracts.

Some investment firms known are incorporated in states where they are not total operational just few offices and managerial duties , for examples virgin islands , mauritius..

Wonderful enough is that those are in contral are not even living in those tax even states , for example they are purely White Europeans business men.
 
1. Mauritius Wana ukwasi balaa Kwa ajili ya tax haven toka 1992.

2. Zanzibar mlizubaa vp au koti la Muungano Zitto?

3. Acheni kuwa na mtazamo hasi kuhusu Tax haven, ndiyo kuvutia wawekezaji kisasa tofauti na anayosema Prof. Mruma
 
Hizi states zenye tax haven (yaaani nearly zero tax rates ) ni ka sumu kwa africa mzee , zinalea wezi wee uoni. Wazungu pure eti wana kampuni katika island ya Cyaman island wanawekeza Zambia. Purely coincidetional
 
1. Mkuu hii dunia ili uendelee inataka hizo mambo. Dubai ya Leo ni zao la mfumo huo pia.

2. Ujamaa kupitia'Azimio la Arusha' ulifeli vibaya.
3. Nimeambatanisha list ya Tax Havens (rafiki zetu Dubai wakiwemo, #10).
 
Attachments

  • images - 2023-07-27T012628.584.jpeg
    images - 2023-07-27T012628.584.jpeg
    10.4 KB · Views: 5
1. Mkuu hii dunia ili uendelee inataka hizo mambo. Dubai ya Leo ni zao la mfumo huo pia.

2. Ujamaa kupitia'Azimio la Arusha' ulifeli vibaya.
3. Nimeambatanisha list ya Tax Havens (rafiki zetu Dubai wakiwemo, #10).
Ona hizo firms zinazolelewa huko , zinavyo tupa hasara sisi waafrica !!! Hayo ma billions ya pesa unaweza. Yalipa mwenyewe ?
 
Tax haven sio mbaya, inazalisha kazi nyingi sana na mzunguko wa pesa unakuwa mkubwa kwa sehemu inayohusika, bongo tunalipa Tax za juu sana mpaka zinaua biashara za watu na maendeleo kwa ujumla, na nyingi zinaishia kwa mafisadi na kununua magari ya waheshimiwa wajinga
 
Zanzibar wakitaka wanaweza kujibadilisha kutoka umwinyi wa kizaman na kuwa Tax haven
 
Zanzibar wakitaka wanaweza kujibadilisha kutoka umwinyi wa kizaman na kuwa Tax haven
Muwaache wajitenge sasa, wanaweza kuigeuza kuwa kama Mauritius
Mauritius miaka ya nyuma tu hapa karibuni ilikuwa choka mbaya, lakini sasa ni gumzo.....
 
Back
Top Bottom