Tawiri

Shy,
Hapo ni maji marefu, da!!! mara PhD!!! mzeee sisi ni sabasaba tatu but one day ,vipi hapo umeshakanyaga hiyo PhD?
 
Hapana mimi huko bado ndio kwanza nimeanza Msc mwezi wa 2 tungoje tuendee kuishi na kuombeana maisha marefu na yenye amani tele huko mbeleni

Utanipa kura zako mwaka 2015 si ndio ?
 
Shy, heshima kwako,
Hongera hata kwa hapo ulipofika, siku zahesabika pia zasonga mithiri ya upepo utokao baharini kuelekea nchi kavu, let God do special thing to u guy na mungu wetu asikie haja ya moyo wako, siku moja utafika hapo unapopatamani siku zikitimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom