Tawi la Kagera Mikoroshini lahamia CUF

Tawi la Kagera Mikoroshini lahamia CUF

CUF Ngangari

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
273
Reaction score
51
operation mchakamchaka hadi 2015 leo imeendelea katika kata ya ndugumbi na kuzoa wanachama wote 114 wa ccm katika tawi kagera mikoroshini na kushusha bendera ya CCM na kupanda ya CUF, akiongea katika mkutano wa kuwapokea wanachama hao aliyekuwa mwenyekiti wa tawi hilo bw Adam amesema aliingia CCM akiwa mtoto alikuwa hajui kitu lakini sasa amekuwa na akili na ameamua kuachana chama hicho, naye kada maarufu wa kata hiyo ya ndugumbi mwajuma amesema nguvu aliyoitumia alipokuwa CCM sasa anaihamishia CUF kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa na madiwani.
 
Hii kauli mbiu ya CUF ina maana gani?

Je hawakuwa na wataalam wa kuleta kauli mbiu yenye maana fasaha?

Mchakamchaka, Chinja chinja tupa , Mchakamchaka, chinja chinja tupa!
Alinselema alija, alinsema alija...

Mchakamchaka, Chinja chinja , Mchakamchaka, chinja

250px-Prof._Lipumba_(left)_and_Seif_Shariff_Hamad_(right)_in_their_victory_press_conference_after_the_by-elections,_19_May_2003,_Chake_Chake_town,_Pemba,_Tanzania.JPG
 
Nikikumbuka na yale makontena ya visu waliyowahi kuingiza nchini mwaka 2000 (kama IGP enzi hizo, Omar Mahita, alivyoutangazia ulimwengu) sina hamu na hawa watu. Wanaweza kuchinja kweli ujue?
 
no longer tutaambiwa zilikuwa oil chafu hizo we subiri hapa hapa
 
Hii kauli mbiu ya CUF ina maana gani?

Je hawakuwa na wataalam wa kuleta kauli mbiu yenye maana fasaha?

Mchakamchaka, Chinja chinja tupa , Mchakamchaka, chinja chinja tupa!
Alinselema alija, alinsema alija...

Mchakamchaka, Chinja chinja , Mchakamchaka, chinja

Prof._Lipumba_(left)_and_Seif_Shariff_Hamad_(right)_in_their_victory_press_conference_after_the_by-elections,_19_May_2003,_Chake_C    SIASA YA BONGO NGUMU
 
So fun this site! Nimecheka sana hadi watu wananishangaa hapa harusini, Good weekend. Folks
 
Kagera mikoroshini pande zipi hiyo mkuu? Isije ikawa kule maeneo ya Black-Belt kwa wale mateja wamejifanya wamehamia CUF ili wapate hela za kwenda kupona.................Hongereni sana kwa kuwavua magamba.
 
Back
Top Bottom