Taulo la hotel

mkuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
1,627
Reaction score
1,462
Kutokana na mada moja iliyotangulia hapoawali kutumia neno taulo la hoteli limeleta mjadala mrefu,sasa je taulo la hotel lina sifa zipi,au lina ubaya gani?
 
Daaaaahhhh we mkuzi kwa nini unataka kukuza mambo kiasi hicho bana si mambo yangeishia kulekule?umeyaleta tena huku?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja sosoliso aje huku ili ajibu maswali yako.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja gfsonwin na kongosho waje watakupa majibu mazuri. Kule umewakimbia umekuja huku. Subiri.
 
'''''
''Mda mwingine kumjibu mjinga yahitaji busara sana.,ujinga ni nusu ya mauti
'''''
''ficha upumbavu wako usifiche hekima yako''
 
Wengi wanaamini kuwa taulo la hotel ni chafu, lakini kama una concerns about "dirty hotel's", where does it end?...Do you bring your own bed linen? Do you bring your own toilet seat? Do you sanitize the floor ? Do you eat at the hotel? Kuna baadhi ya hotel yes... NENDENI MAHOTELI MAKUBWA MAKUBWA
 
rejea kwenye ile mada uone alichosema kule ndio uje uchangie :focus::focus:
 
Ngoja wamwite mkeo taulo la hotel ndio utajua kama lina maana gani.
 
hivi wewe mkizi ulimwita mwenzio taualo la hotel ulimaanisha nini??
basi mimi nakuita wewe mkizi ni TAULO LA HOTELI.
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na mada moja iliyotangulia hapoawali kutumia neno taulo la hoteli limeleta mjadala mrefu,sasa je taulo la hotel lina sifa zipi,au lina ubaya gani?
taulo lina sifa kama za mkizi
 
Last edited by a moderator:
Jamani taulo ingeneral ni demu wa kupoozea,. Taulo la hoteli ni demu ambaye kila mtu anapoozea...
au unataka maana gani: ni mkusanyiko wa nyuzi nyingi zinazonyonya maji na hutumika kujikaushia baada ya kuoga au kutokwa jasho kwa wageni wa hotelini...:shut-mouth:
 
Linakuwa haliaminiki as kila mtu analitumia!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kutokana na mada moja iliyotangulia hapoawali kutumia neno taulo la hoteli limeleta mjadala mrefu,sasa je taulo la hotel lina sifa zipi,au lina ubaya gani?

Haahahaaaaaaaaaaaa! Mdau acha kusafiria nyota yangu! Ngoja nikamfundishe alieniita taulo hotel adabu! Si anataka sebene!!!!!! Chezea Kubwa la Maadui Nyie!
 
Kaka una kifua cha kuhimili huo mziki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…