Mwanafilosofia
Member
- Jun 14, 2014
- 73
- 33
ukiona kuna tatzo nahakun jitihada za kumaliza tatzo hii ni hatar. Ni waz kwamb kwa sasa tatzo la ajira katik nchi yet ni kubwa saana na sabab yake n ndogo saana endapo kil upande utaamua
Nafas zilizop katika nchi yet n ndog kulngamsha na idad ya wanaoitaj hii inatokan na sababu kuu mbili
Moja Elimu tegemezi
Serikali ya nchi yetu inatoa elimu tegemez kuanzia ngaz ya msingi had elimu ya juu hil tatzo linatufany kila au asilimia kubwa wakimaliza masom wasubirie ajira nasio kutngenez ajira serikal inatakiw kuangalia upya mfumo wa elimu nakuachana naelimu ya kuumiza kichwa na macho uku ikudumaza ubongo katik kufikiria juu y utatuz wa tatzo
2. Ufisadi Ujinga
Tanzania ni.nchi inayoongoz kuwa n ufisad ujinga yaan fisadi kupor pesa ya tanznia tena mabilion n kuitunza nchi za nje au kuwekez nje ni ufisadi ujinga. Kwa kuwa katik nchik hii ufisad n ngumu kuishabas wafisad tunaomb muachane na ufisad ujinga na mkumbatie Ufisadi Rafiki hii itasaidia maam mtaiba pesa ambayo ingejenga kiwanda cha umma na badal yake mtajenga kiwandakile kile lakin katik umilik binafsi mmetuibia sawa lakin bora maan tutapat ajira katik kiwanda chako cha wizi kuliko kurundika Uswiz. Tanzania ni waz kuwa hakuna uzalendo kwa maan tuliua ukabila pasipo kujenga uzalendo na ni waz kuwa hakun mtu mzalendo hivy tusiwachukie mafisadi kwa kuiba ila tu tuwachukie kwa kuficha pesa bila kumsaidia aliyeibiwa tuwacBRING BACK YOUR MONEY HOME.
Hata aliyetengneza Computer viruses hatumlahum kwa sabab tu tuna Anti viruses.. Nawasilisha.