A AON Senior Member Joined Sep 22, 2013 Posts 106 Reaction score 18 Apr 26, 2014 #1 Tanzania leo siku ya Muungano wamefungwa na Burundi 3-0, sasa ndo walimaanisha kwamba nao wanataka serikali tatu?
Tanzania leo siku ya Muungano wamefungwa na Burundi 3-0, sasa ndo walimaanisha kwamba nao wanataka serikali tatu?
nkuwi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 4,988 Reaction score 5,653 Apr 26, 2014 #2 Ndio wachezaji nao wanataka serikali tatu! Hata Warundi majirani zetu nao wanapendelea tuwe na Muungano wa serikali 3,
Ndio wachezaji nao wanataka serikali tatu! Hata Warundi majirani zetu nao wanapendelea tuwe na Muungano wa serikali 3,
cnjona JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 1,027 Reaction score 239 Apr 27, 2014 #3 Magoli na serikali 3???