Tattoo zilizovuka mipaka

Akili kumkichwa hapo!!
Yeye unaweza ukute alishajua madahara ya hivyo vitu ila yeye hawezi kumshauri mtu asichore tattoo kwasababu yeye anacho angalia pesa.

Ila ukikutana na mtu ambaye anafanya hiyo kazi akakwambia ukweli wa madhara ya hiyo kitu ujue anakupenda sana.
 
Kweli dunia hadaa, ulimwengu shujaa !
 
Duh.. anafanya practical au..🙁🙁
 
Yeye unaweza ukute alishajua madahara ya hivyo vitu ila yeye hawezi kumshauri mtu asichore tattoo kwasababu yeye anacho angalia pesa.

Ila ukikutana na mtu ambaye anafanya hiyo kazi akakwambia ukweli wa madhara ya hiyo kitu ujue anakupenda sana.
Madhara ya tattoo ni nini mkuu?
 
Aiseeh utasema anachomwa sindano....

Kwahiyo hadi u b o o nao unapigwa tattoo?

Halafu kuna wale wanatangazaga wanafuta tattoo. .. wanafutaje? Maana nijuavyo tattoo ni alama inayoingia hadi kwenye damu sasa wanapoifuta wanakuchuna ngozi au unabandikwa ngozi mpya kwa juu au unabadilishwa damu?
 
huyo jamaa ni chizi kabisa! anatumia pesa ya 'welfare' kufanya huu upumbavu!
HEKIMA ni MUNGU
 

Tatoo inafutika mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…