Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,945
- 67,564
Huu ni ushoga nao

Akili kumkichwa hapo!!Huyo anaye mchora mbona yeye hana tattoo hata moja.
Yeye unaweza ukute alishajua madahara ya hivyo vitu ila yeye hawezi kumshauri mtu asichore tattoo kwasababu yeye anacho angalia pesa.Akili kumkichwa hapo!!
Ni kama mganga anavyokuambia atakupa dawa ya utajiri wakati yeye (mganga) hana hata kibanda cha kuishi!Huyo anaye mchora mbona yeye hana tattoo hata moja.
Madhara ya tattoo ni nini mkuu?Yeye unaweza ukute alishajua madahara ya hivyo vitu ila yeye hawezi kumshauri mtu asichore tattoo kwasababu yeye anacho angalia pesa.
Ila ukikutana na mtu ambaye anafanya hiyo kazi akakwambia ukweli wa madhara ya hiyo kitu ujue anakupenda sana.
Hivi zinasaidia nn hizo tatoo..
nadhani hii kesi inamuhusu Nasibu Abdul. (Nadhani Tu)Huu ni ushoga nao
![]()
Aiseeh utasema anachomwa sindano....
Kwahiyo hadi u b o o nao unapigwa tattoo?
Halafu kuna wale wanatangazaga wanafuta tattoo. .. wanafutaje? Maana nijuavyo tattoo ni alama inayoingia hadi kwenye damu sasa wanapoifuta wanakuchuna ngozi au unabandikwa ngozi mpya kwa juu au unabadilishwa damu?