Tatoo zilizoenda shule.

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783

Tunapatikana kila wakati.
Tena ukiondoka anakuambia karibu tena.
 
Duuuh namchapa makofi ya nguvu....kumchora mwenzie katuni za nursery ndo nini?
 
yan hapo mchoraj ajifanye anaenda haja af atimue maana jamaa atammeza
 
Tulitiana ujinga na mpenzi wangu eti tukachore tatoo kwenye ma.kalio yetu yaani mi niandike jina lake na yeye aandike jina langu KISA ETI TRUE LOVE unajua kilitokea nini mbeleni...?
 
Tulitiana ujinga na mpenzi wangu eti tukachore tatoo kwenye ma.kalio yetu yaani mi niandike jina lake na yeye aandike jina langu KISA ETI TRUE LOVE unajua kilitokea nini mbeleni...?

aisee ningependa kujua hatma ya hii story au unaogopa kuitoa hadharani, pia ningependa kujua pia mlichora nini?
 
halafu inaonyesha jamaa anaumia kinoma,mchoraji jiandae kwa makonde ya nguvu!!!
 
aisee ningependa kujua hatma ya hii story au unaogopa kuitoa hadharani, pia ningependa kujua pia mlichora nini?

Tuliishi kwa muda wa mwaka mmoja na nusu tukaanza maugomvi ya wivu wakati yeye akiwa chuo ujue ilitokea nini....?
 
tuliandikana majina tu sio mapicha kama wale wavuta bangi ki ukweli ningekuwa na uwezo ningeUpload t.ako langu ili muone jina nilililoandika ila naogopa kujulikana.
 
Tulitiana ujinga na mpenzi wangu eti tukachore tatoo kwenye ma.kalio yetu yaani mi niandike jina lake na yeye aandike jina langu KISA ETI TRUE LOVE unajua kilitokea nini mbeleni...?

You made my day.
 
Kama ni kwenye football ni kichwa cha mwendawazimu.......Huo ni mgongo wa chizi!
 
Mambo ya Walawi 19 : 28
Msichanje chale yo yote
katika nyama ya miili yenu kwa
ajili ya wafu, wala msiandike
alama miilini mwenu; mimi
ndimi Bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…