Tatoo yenye jina la hawara

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
Inakuwaje unapokuta mkeo ana tatoo yenye jina la hawara yake wa zamani ambayo umeigundua baada ya kumwoa?

Kazi kwenu kudadavua
 
inakuwaje unapokuta mkeo ana tatoo yenye jina la hawara yake wa zamani ambayo umeigundua baada ya kumwoa?,?.....kazi kwenu kudadavua
Hivi hakuna namna ya kufuta hayo madude.
 
Siwezi kuchora tatoo mwilini hata kwa kulipwa, sipendi tatoo, zaidi sana sipendi urembo wa kishamba, piga chini
 
Sasa hilo ni swali la kuuliza kama mwanaume?
 
Mmmmmh najaribu kuimagine kama ningemkuta hubby na hiyo kitu me sielewi ila angeifuta tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…