Tatoo JWTZ

Kwani wakati anachora alikuwa anafikiria nini? Alafu tunaweza kutatua issue ya tatoo kumbe ana mapungufu mengine kama kutokuwa na uvungu katika miguu yake, Alafu zile nywele kwenyr njia ya haja kubwa kama zimeondolewa kwa namna yoyote ile hatakwenda jeshini
 

Aisee hii sijawahi kusikia, kwa wanaume na wanawake au?
 
sheke well before use,mchezea zuri baya humfika na mchuma janga hula na wakwao
 

Mpeleke Lumumba!..
 
mambo ya kuiga iga yamemponza bwana mdogo.
hata akipata wataalamu wa kufuta hizo tatoo huwa hazifutiki kwa 100% so jeshini watamgundua tuu hakuna jinsi kwani huwa wanafanya inspection tena inafanywa na watu wazoefu.
 

Bubu msemaovyo nimeipenda comment yako. Umezungumza ukweli kabisa. Natamani mkuu wa majeshi angeiona comment yako, angetafuta cha kukuzawadia. Safi sana, umeongea kweli tupu
 

Huyo dogo anaependa jeshi ni kabila gani?
 
Mwambie apige pasi ya moto hapo had mwakani atakuwa amepona na ataenda kama kovu tu la kidonda.

Kama ulikuwa haujui jeshini hata kavu kubwa hawataki,ujana maji ya moto kila kibaya unaona kizuri.
 

Kuna shemeji yangu wa Kike ni mzuri sana, siku ya kwanza kumwona nili-appreciate na kumsifu sana Mdogo wangu kwa kuchagua chuma cha nguvu, figure imetulia, anaongea kwa madaha na pose za kidada hasa!

maskini kesho yake asbh akiwa ndo ametoka kuamka alivaa T-shirt bahati mbaya nikagundua kuwa alikuwa amechorwa TATOO kwenye bega la mkono wake wa kulia si tatuoo mbaya ni ya jjina lake....

Kwa kweli kuanzia hapo kiukweli nilimshusha thamani na kumpa thamani halisi ya uhuni wa kiwango cha juu!

Nashukuru leo nimejua maana halisi ya tatoo kuwa ni uhuni wa kiwango cha juu!
 
Last edited by a moderator:
Hapa napo kuna jambo la kujifunza. Sio tu kwa aliyeombewa ushauri, bali hata kwa tuliobaki (tusio na timr na jeshi). Huyu kijana atasemwa kwa mengi, lakini na sisi tujiangalie - maana mengine tunajijua wenyewe - yaani heri ya mwenye tattoo, inawezekana hata amebadilika saivi na amekoma.

Wengineo sasa, bado mnatisha kuliko maelezo.
 
akiiondoa kwakupitia pasi ya moto bado pia watajua..wana jeshi wana pima vitu vingi..
watamuuliza pasi ilifikaje uko juu begani..ooh nilipigana,,(wananote tu) afu inshort wanakumaliza kwakukuambia jeraha ni kubwa,,hutoweza kustahimiri mazingira tofaut
 
Wenye makovu makubwa pia hawapokelewi kaka kama ulikuwa hujui

Hapo inategemea na ukubwa wa tattoo yenyewe pia..na maeneo ilipo, kama ni ndogo watamchukua tu ndugu.
 
sasa kwanini uwekee tatoo wakati unajua wataka geshi. mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…