Real Estate Projects
Member
- Sep 6, 2013
- 15
- 1
Wasalaam
wakuu
nina mdogo wangu anataka ku apply kujiunga na jeshi la jwtz au polisi mwakani kwani anapenda sana jeshini sasa tatizo moja ni kuwa ana tatoo kwenye bega na amesikia kuwa jeshini huingii kama una tatoo
so anatafuta sehemu hapa Dar ambayo wanatoa tatoo ili aifute tatoo yake
kama kuna member anaijua sehemu au kuna mtu anamjua amsaidie jamaa huyu...
Nawasilisha

Tatoo ni kiwango cha juu cha utovu wa nidhamu. Hata wewe jaribu kufikiria kama wewe ni mwanaume unakutana na mwanamke ana tatoo makalioni anakwambia kuwa anakupenda sana sidhani kama utakuwa na haja naye. Nidhamu ya Jeshi imeenda mbali zaidi inaanzia na mambo madogo madogo kama tatoo. Ushauri wangu ni kwamba mpe mtaji aanze maisha.
"Asiefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu" kaka mtu unahangaika na nini? Mwambie wakamfute haohao walomchora!
Amfuate Ney wa Mitego amfundishe kuimba maisha popote sio lazima awe jwtz!
Ingekuwa vizuri wanabodi kujibu either unajua au hujui wanakotoa hiyo michoro (Tatoo) halafu ndio mumpe ushauri. Binafsi sijui.
Nafikiri atakua hajatatua tatizo kwa sababu, kama sikosei, pia makovu makubwa pia ni disqualification kukubaliwa jeshini.Afanyiwe upasuaji wakutolewa ngozi yote apo begani alipojichora.