Tatizo_airtel modem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo_airtel modem

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Naipuli, Oct 8, 2012.

 1. Naipuli

  Naipuli JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 229
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  MSAADA WENU TAFADHALI!

  Natumia HP 620, Windows 7 Ultimate, SP1, 32-bit OS.

  Ninapotumia modem za ZANTEL, TIGO na AIRTEL/ZAIN (HUAWEI) zinafanya kazi vizuri, lakini ninapotumia modem ya AIRTEL hizi mpya (ZTE CORPORATION, MF 190) inagoma, na inaniandikia "EXCEPTION EXCEPTION IN MODULE DLL_NETCARD_R.DLL at 000653DB".
  Pia huandika "Access violation at address 0040E2B8 in module 'UIMain.exe'. Read of address 000003DC".
  Na nilipowaendea watu wa Airtel kuhusu tatizo hili nao wameshindwa kunipatia ufumbuzi.
  Na ninapoweka Modem hii katika PC nyingine inafanya kazi vizuri bila matatizo yoyote.

  Mimi hapa sielewi chochote nimebaki nashangaa tu.
  Kwa mwenye ujuzi anisaidie tafadhari, kwani ninapata tabu sana ninapokuwa maeneo ambayo mitandao mingine haipatikani vizuri kwa Internet.
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Na mimi nilipata shida hiyo mpaka nilipodownload drivers za modem za ZTE na kuinstall kwenye computer ndipo ilipokubali. Google hizo drivers weka manually kisha weka modem itaji install.
   
Loading...