Copy hiyo nimeona moja kwa jamaa yenyewe ni copy ya A9 pro ina 64gb inaonyesha 58gb free alafu ukiweka app mbili tu inataka u delete space imejaa nilishangaa sana amini usiamini hiyo copyuwezi amin mkuu hii simu haina picha wala video hata moja,nilifuta kila kitu lakin bdo inaleta mnyau nyau
[emoji23][emoji23][emoji23]S9 ina 3G mbili
[emoji3][emoji3]
Yaan GbWhatsApp ni matawi ya juu unaweza ficha hata lastseenTofauti ni nin
ni ya bure?Yaan GbWhatsApp ni matawi ya juu unaweza ficha hata lastseen
idownload googleni ya bure?