Tatizo: Unfortunately WhatsApp has stopped

Tatizo: Unfortunately WhatsApp has stopped

Habar zenu wakuu,,
namiliki simu aina ya Samsung ni week sasa tangu niipate tatzo linalonisumbua kipa mda inaniletea up ujumbe Unfortunately WhatsApp has stopped,
Nmejaribu Ku ireset na kudownload WhatsApp upya tatzo ndo limeongezeka kila sehemu nnayo ingia inaniambia hyo sehmu has stopped
...
Msaada kwa anaefaham jins ya Ku solve ili tatZo
Chip yake itakuwa in mediatek hiyo
 
nmefanya ivyo mkuu ahsante naona imeacha ngoja nione had jion,,,maana nipishawahi kureboot baada ya siku mbili tatzo likajirudia
Mkuu kwanza angalia space storage ktk sim yako
Kama nafasi bado ipo tena iwe nafas ya kutosha
Ingia playstore hakikisha unaifanyia UPDATE kwanza PLAYSTORE yako
Kisha nenda SETTING hakikisha unaifanyia UPDATE SOFTWARE ya simu yako
Ukimaliza hapo delete hio watsap iliopo kisha ingia tena PLAYSTORE kui download upya

Nb—-whatasapp hiwa inaji BACKUP kama setting yako ipo ktk autoBackup
Endapo ikiji backup hio watsap hali ya kuwa sim yako haina Mcard au Storage Space ya kutosha,inafika sehem ina STUCK hio watsap hakikisha una Mcard au Phone memory storage ya kutosha

Sent from my S9 8 using JamiiForums mobile app
 
Nmegundua tatizo ni ww mwenyewe, sio simu.
nmepost mkuu kuhusu storage yake
Screenshot_2018-10-05-08-37-53.jpeg

Sent from my S9 8 using JamiiForums mobile app
 
nmefanya ivyo mkuu ahsante naona imeacha ngoja nione had jion,,,maana nipishawahi kureboot baada ya siku mbili tatzo likajirudia

Sent from my S9 8 using JamiiForums mobile app

Reboot haisaidii kitu Mkuu
Cha muhim ni ku Update software ya simu yako,kingine hakikisha device ina storage place ya kutosha,hio simu yako inaonekana ina mzigo mkubwa saana
Jaribu kufuta App zisizo kuwa na umuhimu ktk simu yako
Pia punguza videos na picha zisizokuwa muhim ili upate nafac ya kutosha
 
uwezi amin mkuu hii simu haina picha wala video hata moja,nilifuta kila kitu lakin bdo inaleta mnyau nyau
 
free GB 29 used GB 3
Hiyo ni fake.
29+3=32
Ningumu kumeza, internal storage ni 32 Gb afu free space iwe 29 na used space ni 3.
Usidanganye watu wazima.
Una maanisha system memory ni 3gb...??
Kwa s9 haiwezekani kamwe.
Natumia G920P s6 flat, total storage ni 32 gb system memory imechukua 6.78 gb.
Kwa ushauri rudisha hiyo simu sehemu ulipo inunua, coz uliuziwa kopo.
 
inawezekana mkuu ni fake 100℅ nilibadilishana na sister nkampa tecno yangu,,nae ilikuwa inamsumbua ivi ivi nikamwambia anipe ntajua Jins ya kuilekebisha ndo maana nimeleta humu nipate msaada
 
@kamungila karim

wewe nae utakuwa unasumbuliwa na simu mbona Mimi GB wasap naisikiaga tu na huwa sisumbuliwi na haya matatizo ...inategemea unatumia simu gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom