Tatizo: Unfortunately WhatsApp has stopped

Yes iam

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
258
Reaction score
371
Habar zenu wakuu,,
namiliki simu aina ya Samsung ni week sasa tangu niipate tatzo linalonisumbua kipa mda inaniletea up ujumbe Unfortunately WhatsApp has stopped,
Nmejaribu Ku ireset na kudownload WhatsApp upya tatzo ndo limeongezeka kila sehemu nnayo ingia inaniambia hyo sehmu has stopped
...
Msaada kwa anaefaham jins ya Ku solve ili tatZo
 
Watumiaji wa tecno hilo tymumelizoea
 
Habar zenu wakuu,,
namiliki simu aina ya Samsung ni week sasa tangu niipate tatzo linalonisumbua kipa mda inaniletea up ujumbe Unfortunately WhatsApp has stopped,
Nmejaribu Ku ireset na kudownload WhatsApp upya tatzo ndo limeongezeka kila sehemu nnayo ingia inaniambia hyo sehmu has stopped
...
Msaada kwa anaefaham jins ya Ku solve ili tatZo
Heheh... s9 ndio ikufanyie hivo???

acha masihara labda kama ni clone....

high end devices hazina ujinga huo....

Kuna simu yangu ninaitumia.... sijawahi kutana na hivyo vitu.... yaani hakuna kitu kinachonigomea.... I love my huawei flagship...
 
me nmekutana na hilo tatzo mkuu ndo maana nmefata wajuzi humu waweze kunisaidia tatzo ni kubwa nashindwa fanya lolote
 
Sio kesi sana hao wanasema hyo ni fake wana ruhusa hyo japo wanaweza kuwa wakweli, kama kuna apps umeziongeza kabla ya whatsapp kuzingua toa moja baada ya nyngine.
free GB 29 used GB 3
 
Sio kesi sana hao wanasema hyo ni fake wana ruhusa hyo japo wanaweza kuwa wakweli, kama kuna apps umeziongeza kabla ya whatsapp kuzingua toa moja baada ya nyngine.
cjakuelewa izo apps nilizoongeza maana saa iv hats nifungua camera au SMS za kawaida inaleta huo ujumbe
 
Mkuu kwanza angalia space storage ktk sim yako
Kama nafasi bado ipo tena iwe nafas ya kutosha
Ingia playstore hakikisha unaifanyia UPDATE kwanza PLAYSTORE yako
Kisha nenda SETTING hakikisha unaifanyia UPDATE SOFTWARE ya simu yako
Ukimaliza hapo delete hio watsap iliopo kisha ingia tena PLAYSTORE kui download upya

Nb—-whatasapp hiwa inaji BACKUP kama setting yako ipo ktk autoBackup
Endapo ikiji backup hio watsap hali ya kuwa sim yako haina Mcard au Storage Space ya kutosha,inafika sehem ina STUCK hio watsap hakikisha una Mcard au Phone memory storage ya kutosha
 
Fanya backup ya data zako kisha fanya kuirestore tuu, kama hutojali. Then make sure unakua updated kwa software za device yako usizozitaka au usizozitumia ukiweza zitoe kabisa kwenye device kama zinawezekana kwa njia ya kawaida bila kuroot.
cjakuelewa izo apps nilizoongeza maana saa iv hats nifungua camera au SMS za kawaida inaleta huo ujumbe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom