Tatizo TOSHIBA Satellite L505-S5969

utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
990
800
Habarini za usiku, asubuhi au mchana, tafadhali naombeni mchango wenu, nina laptop yangu ya Toshiba sasa tokea juzi aingizi umeme kabisa nikiplug in adapter with battery na without battery lakini amna kitu hata kuwaka aiwaki, hata taa ya kuonyesha mashine ipo plugged in aiwaki. Je nini linaweza kuwa ni Tatizo la aina ipi,NA pia bei ya matengenezo inaeza ifike bei gani. Ahsante

Battery ya laptop ni mpya.
Adapter mpya na pia nimejaribu kutumia Ya mtu.
 
Possibility kubwa ni charging system imeungua...hapo ni kumuona fundi wa hadwares tuuu za computer ila kuhusu bei sijui kwa kweli.......
 
Dah asante kwa jibu lako, nitaipeleka Leo kwa fundi
 
Back
Top Bottom