mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
Kwanza wanaichukulia kama timu ya TFF, pili wachezaji wetu wa wa tanzania hii wavivu kwa mazoezi wakipata kocha mpya wanajitahidi sana wakimzoea wanajiregeza wachezaji nawaomba hebu mkaze mwili twende AFCON.