Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 409 Jun 28, 2012 #1 Kwa anayejua jinsi ya kufanya port ya usb isome format zote za movie.Manake inachagua mno
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 537 Jun 28, 2012 #2 Tatizo sio hardware, ni software na hakuna kinachoweza kufanyika hadi hapo wenyewe Sony watakapo fanya update tofauti
Tatizo sio hardware, ni software na hakuna kinachoweza kufanyika hadi hapo wenyewe Sony watakapo fanya update tofauti
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,930 Reaction score 1,162 Jun 28, 2012 #3 Gurta said: Tatizo sio hardware, ni software na hakuna kinachoweza kufanyika hadi hapo wenyewe Sony watakapo fanya update tofauti Click to expand... Naona kama umegeuza vile!
Gurta said: Tatizo sio hardware, ni software na hakuna kinachoweza kufanyika hadi hapo wenyewe Sony watakapo fanya update tofauti Click to expand... Naona kama umegeuza vile!