Tatizo sio dstv, Tatizo kifurushi chako

Tatizo sio dstv, Tatizo kifurushi chako

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,605
Asee sikuwahi kufahamu kama dstv ni tamu namna hii jana ndo nimejua dstv balaaa.

Mi ni mgeni kwenye dstv,nilivyonunua hili dish lilikuja na kifurush cha ofa package ya poa .

Kiukweli sikuona cha ajabu chochote hadi nikatamani kununua Azam hata channel nilizopewa hazina ubora hadi nikahisi au TV yangu mbovu.

Jana nimejaribu kupanda kifurushi cha kawaida tu cha 31000 tsh cha shangwe navyoenjoy machannel ya burudani sijui siku nikiweka cha 51000 itakuaje.

Asee dstv baba Lao
 
Hili nalo la kuanzisha uzi? Ukijiunga na Netflix tutalala humu kweli?
 
Asee sikuwahi kufahamu kama dstv ni tamu namna hii jana ndo nimejua dstv balaaa.

Mi ni mgeni kwenye dstv,nilivyonunua hili dish lilikuja na kifurush cha ofa package ya poa .

Kiukweli sikuona cha ajabu chochote hadi nikatamani kununua Azam hata channel nilizopewa hazina ubora hadi nikahisi au TV yangu mbovu.

Jana nimejaribu kupanda kifurushi cha kawaida tu cha 31000 tsh cha shangwe navyoenjoy machannel ya burudani sijui siku nikiweka cha 51000 itakuaje.

Asee dstv baba Lao
Wengine tunanunua Vifurushi kwa Ajili ya Watoto . hatuna muda sana wa kuangalia TV
 
Asee sikuwahi kufahamu kama dstv ni tamu namna hii jana ndo nimejua dstv balaaa.

Mi ni mgeni kwenye dstv,nilivyonunua hili dish lilikuja na kifurush cha ofa package ya poa .

Kiukweli sikuona cha ajabu chochote hadi nikatamani kununua Azam hata channel nilizopewa hazina ubora hadi nikahisi au TV yangu mbovu.

Jana nimejaribu kupanda kifurushi cha kawaida tu cha 31000 tsh cha shangwe navyoenjoy machannel ya burudani sijui siku nikiweka cha 51000 itakuaje.

Asee dstv baba Lao
DStv Wana channel nzuri sana
 
Ivi unalipiaje Netflix?

Hivi mkuu Netflix unajiungaje na gharama zipoje??
Netflix unajiunga online, unalipa kwa credit card au hata hizi viza ATM card.

Cha muhimu uwe na access ya kujiunga na internet bundle kubwa kama zile monthly unlimited bundle ndio utaielewa Netflix.

Account mmoja mnaweza kushare zaidi ya mtu mmoja hata mkiwa hampo karibu.
Dunia ipo huko sasa kwa wapenzi wa movie.

Mengine ingia online maelezo yapo wazi
 
Si wameondoa kusgea paswedi,kitu ambacho kimewapotezea wateja wengi hivi karibuni!
 
Wengine hata huo muda wa kuangalia hatuna hata mtuwekee chaneli zote, akina mama wao chaneli ya bongo movie inawatosha........maana humo ni full umbea na show off za hapa na pale.
 
Netflix unajiunga online, unalipa kwa credit card au hata hizi viza ATM card.

Cha muhimu uwe na access ya kujiunga na internet bundle kubwa kama zile monthly unlimited bundle ndio utaielewa Netflix.

Account mmoja mnaweza kushare zaidi ya mtu mmoja hata mkiwa hampo karibu.
Dunia ipo huko sasa kwa wapenzi wa movie.

Mengine ingia online maelezo yapo wazi
Nina smart TV ila sijajiungq bado na hii kitu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Netflix unajiunga online, unalipa kwa credit card au hata hizi viza ATM card.

Cha muhimu uwe na access ya kujiunga na internet bundle kubwa kama zile monthly unlimited bundle ndio utaielewa Netflix.

Account mmoja mnaweza kushare zaidi ya mtu mmoja hata mkiwa hampo karibu.
Dunia ipo huko sasa kwa wapenzi wa movie.

Mengine ingia online maelezo yapo wazi
Mkuu hatuishi kwa movie tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom