Mwehu atadhamini gari na mwenye akili atathamini upendo.
WA aina hiyo wamebaki wachache mno!...
Kwa mali zao
Kwa uzuri wao
Kwa nasaba zao
Kwa ucha mungu wao
Ukikosa japo mawili katika hayo kaa mbali na wajukuu zangu.
Faiza unafungua mmu? 🙂
nwy. nasaba ni nini?
Kwani kujulikana ni kubaya? Unanchekesha!
Kwani kujulikana ni kubaya? Unanchekesha!