baseband haipo mkuu..
hao watu wa box la octopus ntawapata wapi? na inaeza gharimu bei gan? nipo dar.
Am not sure wanapatikana wapi ila ndio solution rahisi zaidi.
Zipo njia nyengine za kutumia terminal emulator au adb ila sio 100% effective.
Nenda kkoo aggrey ulizia fundi mwenye box hakikia Hadi unampata mwenye z3x ndio umuelezee tatizo.
Fundi WA kawaida atakwambia uiflash na haitasaidia
Shiny naomba unisaidie nimenunua samsung lakini nikitia kadi yoyote haikubali sijui nifanyeje
tumia wifi nenda playstore search mtk engeneeringwakuu..habari
msaada galaxy note 2 imepoteza IMEI GHAFLA .inaandka no services hvyo siwez ku access mtandao.msaada wakuu.
inaleta ujumbe gani unapochomeka simcard mfano
Na inasema kadi haijasajiliwa kisha inatoa kibox nitie pin no ni simu ya AT&T inaonekana. Iko block
tumia wifi nenda playstore search mtk engeneering
ukidownload ifungue ingia mtk settings then nenda option ya
gprs hapo kwenye kibox itabidi uattach ama weka imei mpya
ile ambayo imeandikwa nyuma ya simu nlifanya hvy kwenye
sim ya rafk yangu ikakubal narudia tena attach imei ambayo
imeandikwa nyuma ya sim ukitoa betri utaiona

mkuu hyo mtk nmechek naona ni kwa cm za mediatek tu.
hebu nenda setting then about baseband ipo? kama haipo usihangaike hadi upate mtu mwenye box la z3x au octopus
Mkuu na mimi simu yangu ina tatizo kama hilo. Nimecheki baseband ipo? Je ni proof kwamba cm yangu ni unlocked?
Nikienda call setting inasema network or sim card error
kama baseband ipo cheki imei kama ipo,
kwani simu yako ni mbovu au just ipo hvyo tu
Imei ipo. Nimibofya *#06# naipata. Niliinunua USA ikiwa used