Tatizo ninini?

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2008
Posts
2,268
Reaction score
338
Jamani naomba kueleweshwa hili Kwanini nchi kama Ethiopia ina shirika la ndege(Ethiopia airline) ambalo linatesa sambamba na mashirika makubwa ya ndege na wakati nchi kama hiyo haina any source of income zaidi ya vita. Lakini hilo shirika bado halijadorora mpaka sasa je sisi tulio na amani na utajiri wote huu tunashinda na nchi kama Ethiopia.Je tatizo ni nini?.
 
Tatizop ni ubwege na kubweteka amani zenu. watanzania ni wavivu sana hatujishughulishi eti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…