Tatizo ni Serikali, Management ya Tanesco, wafanyakazi wa Tanesco. Wafanyakazi wa Tanesco wengi wao (sio wote) ni wavivu wa kujifunza, wavivu, wezi(vishoka) na wanapenda kulalamika hata pale walipokosea. Tatizo la serikali ni kuingilia kazi za kitaalamu, tatizo la menejiment ni kuangalia ulaji zaidi.
Dawa:
Gawanya Tanesco into three companies: Generation, Transmission and Distribution. Generation atamuuzia Transmission na distribution atanunua umeme from transmission nae atawauzia watumiaje. Asiyeweza kulipa na asipate huduma, then tutajua nani ni mzembe.
Vilevile tubinafsishe kwa mtindo kama wa CRDB wananchi, serikali,wafanyakazi na foreign investors wanunue shares. Huu ndio mtindo wa kisasa, tuache mambo ya kujisifu kuwa shirika la umma wakati hatupati huduma!!!!