Haina mbaya, ushauri umepokelewa!Shikamoo wape unaowajua, Kuna watu unaweza kuwaona wazee kumbe ni Maradhi,Wewe kama una heshima sana onesha kwa matendo, Mfano ukiwa kwenye daladala umekaa kwenye siti,Akaingia mkubwa hana siti mpishe,Hiyo ndiyo heshima,Siyo shikamoo.
Ni mwendo wa kula bata tu!Mambo ya hovyo kabisa, mimi kwetu naamkia ndugu zangu & Jamaa wakaribu tu ila watu baki labda wazee watu wazima lakini mwanamke wa makamo ambaye nina uwezo wa kumlala siwezi kumuamkia hata kama kanizidi 20 years.
Vunja mifupa kama meno bado ipo Don.ππΎNi mwendo wa kula bata tu!
Muhimu sana hiyo mkuu, starehe za dunia zinapita tu.ππΎππΎPia tukumbuke kuruka kwa umakini!
Dunia haieleweki hii!
huwenda alikuelewa na wew unakazan na. shikamooo zako muwe mnajiongeza kwa kusoma saikolojia zao usijeambulia kupopolewa na maneno maan wengine hawachelewOyaaa! Sio poa kaona kabisa kuna jambo nataka kumbania!π