Machine ndio inaandika yenyewe au anaandika Mtu, yaani idadi ya Puss cells inaandikwa kwa machine au ni mtaalamu ndio ana analys kupitia kifaa kisha anaandika iwe kwa mkono ama kwa ku type kwenye computer??
Sikuambiwa na sikuzinywa kabisa maana kwenye majibu baada ya kumuuliza ugonjwa akafikiria sana kisha akanipa dawa hiyo bila kusema ndio Mimi nikashtuka
Machine ndio inaandika yenyewe au anaandika Mtu, yaani idadi ya Puss cells inaandikwa kwa machine au ni mtaalamu ndio ana analys kupitia kifaa kisha anaandika iwe kwa mkono ama kwa ku type kwenye computer??
siyo kila kituo cha afya/zahanati/hospitali kina Automated urinalysis machines inayotoa printout, vipimo vingi majibu yanasomwa/tafsiriwa na kuandikwa kwa mkono, kazi nyingi zinaandikwa notisi kwa mkono, ni ngumu ku automate kila process. lakini mwisho wa siku hizo kazi anayefanya ni binadamu kwa nini uiamini mashine kuliko nbinadamu anayeoperate hizo gadgets?