Tatizo ni nini?

Dahhhh pole sana mkuu....
Nashauri uanze mazoezi, kula vizuri na upumzishe mwili wako, pia zingatia kunywa dawa kwa wakati...🤥
 
Daaa,, sasa nimekuelewa

Hii tabia itaisha lini?
Juzi nimeenda kupima kipimo cha uzee. Diagnostic Centre Morocco wakanipa printout. Kwa kawaida huwa nikipima lazima nipime pia sehemu ingine kwa uhakiki pale maeneo ya Mwenge. Hawa wa pili majibu yalikuwa juu sana. Nikaomba printout, hapo ndipo nilipojua jinsi tunavyodanganywa. Mara machine yetu haina printer mara ilikubi ilikubi. Akili mukichwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…