Nasikitika sana jombaa maana ukishindwa kuidhibiti tabia ya mtoto mpka kufikish miaka nane bas tena hapo kumgeuza ni kaz kwel kwel,itakuchukua miaka nane mingine kumweka sawa nae akaelewa,
Na umesahau mtoto ajifunzi anavyosikia bali anajifunza anavyoshuhudia,so anashuhudia nn kwenu?? Tatzo weng wanaokujaga kuomba ushauri huku naona wanaelezea tu mabaya ya mwenzake na hawasem tabia yao halis,huo ni msalaba wako,komaa nao uunyooshe kama Sizonje anavyotunyoosha,japo tumekua wabish lakin tunannyooka mdogo mdogo.