Tatizo ni bodi au wizara ya elimu?

Tatizo ni bodi au wizara ya elimu?

Stevenbee

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
365
Reaction score
449
Waziri wa elimu sayansi na teknolojia Prof Ndalichako amewatupia lawama bodi ya mkopo elimu ya juu kuwa wanafanya kazi kwa mazoea amesema pamoja na kutumia jitiada za kusafisha watumishi bodi hiyo amesema wapo watumishi bado wanafanya kazi kwa mazoea;

Ndalichako amesema ameyasikia malalamiko kutoka kwa wananchi na anayafanyia kazi na amesema wanafunzi wapewe mikopo semista hii kwa mwaka wa kwanza na wote bila kufata mean tested.

Amesema lengo la serikali ni kuwapa wote wahitaji amesema na kuiagiza bodi ya mikopo kuwapa kama mfumo wa zamani Pia bodi ya mkopo imekosea kuwapa wanafunzi shilingi elfu tano kwa miezi kama pesa za kujikimu amesema bora kutompa.

source.TBC
 
Wote wawili wizara na bodi wanahusika. Tumemuona na kumsikia Eng. Mhe. S . Manyanya akizungumzia utaratibu utakaofuatwa na HESLB na bodi imetekeleza kutumia formular mbovu mbovu. Nafikiri umefika wakati uwepo wa bodi utathiminiwe upya na njia nyingine za kutoa mikopo zitafutwe. Bodi yenyewe ni mzigo tosha. Maamuzi haya sijui yalihusisha wadau wangapi na moja kwa moja yamepingana na matamko yaliyotolewa wakati wa kuomba kura.
Baada ya kubadili alama za ufaulu na vigezo vya kudahiliwa nilitegemea vijana wasingekumbana na kadhia hii. Heads should roll over this!!!!!!
 
waziri wa elimu sayansi na teknolojia prof ndalichako amewatupia lawama bodi ya mkopo elimu ya juu kuwa wanafanya kazi kwa mazoea amesema pamoja na kutumia jitiada za kusafisha watumishi bodi hiyo amesema wapo watumishi bado wanafanya kazi kwa mazoea;<br /> ndalichako amesema ameyasikia malalamiko kutoka kwa wananchi na anayafanyia kazi na amesema wanafunzi wapewe mikopo semista hii kwa mwaka wa kwanza na wote bila kufata mean tested.<br />amesema lengo la serikali ni kuwapa wote wahitaji amesema na kuiagiza bodi ya mikopo kuwapa kama mfumo wa zamani Pia bodi ya mkopo imekosea kuwapa wanafunzi shilingi elfu tano kwa miezi kama pesa za kujikimu amesema bora kutompa.<br />source.TBC
 
waziri wa elimu sayansi na teknolojia prof ndalichako amewatupia lawama bodi ya mkopo elimu ya juu kuwa wanafanya kazi kwa mazoea amesema pamoja na kutumia jitiada za kusafisha watumishi bodi hiyo amesema wapo watumishi bado wanafanya kazi kwa mazoea;
ndalichako amesema ameyasikia malalamiko kutoka kwa wananchi na anayafanyia kazi na amesema wanafunzi wapewe mikopo semista hii kwa mwaka wa kwanza na wote bila kufata mean tested.
amesema lengo la serikali ni kuwapa wote wahitaji amesema na kuiagiza bodi ya mikopo kuwapa kama mfumo wa zamani Pia bodi ya mkopo imekosea kuwapa wanafunzi shilingi elfu tano kwa miezi kama pesa za kujikimu amesema bora kutompa.
source.TBC
siasa

Sent from mTalk
 
Mi naiona siasa uchwara hapo, mana siamin kabisa kama bodi wanafanya kazi bila kuishirikisha wizara (waziri)...!!

Wazir anawalaum bodi, lakin kimsingi wote ni walaumiwa ..!!
 
Ni vizuri ikakumbukwa kuwa miongozo inayotekelezwa na mashirika inapata idhini kutoka kwa Wizara inayosimamia shirika hilo. Hivyo inawezekana Bodi inalaumiwa ki makosa kwani hawawezi kujiamulia kubadili utaratibu bila kuihusisha wizara. Mimi najiuliza, kwanini mwaka huu? mbona miaka iliyotangulia mikopo ilitolewa vizuri. Hili linapaswa kuchunguzwa vizuri, kuliko kulaumu bila kujua taratibu zilivyo.
 
waziri wa elimu sayansi na teknolojia prof ndalichako amewatupia lawama bodi ya mkopo elimu ya juu kuwa wanafanya kazi kwa mazoea amesema pamoja na kutumia jitiada za kusafisha watumishi bodi hiyo amesema wapo watumishi bado wanafanya kazi kwa mazoea;
ndalichako amesema ameyasikia malalamiko kutoka kwa wananchi na anayafanyia kazi na amesema wanafunzi wapewe mikopo semista hii kwa mwaka wa kwanza na wote bila kufata mean tested.
amesema lengo la serikali ni kuwapa wote wahitaji amesema na kuiagiza bodi ya mikopo kuwapa kama mfumo wa zamani Pia bodi ya mkopo imekosea kuwapa wanafunzi shilingi elfu tano kwa miezi kama pesa za kujikimu amesema bora kutompa.
source.TBC
Huyu waziri mpuuzi sana. alivyo na ham ya kutumbua, kweli badi wanaweza kujifanyia bila kumshirikisha!!! kwanza aliitumbua bodi ya mikopo na tcu, sasa hawa wapya watafanyaje kwa mazoea, waliupata wapi huo uzoefu?
kwakweli huyu mama alipaswa kupewa taasisi ndani ya wizara, sio wizara kamili. uwezo wake ni mdogo sana. siasa ndio iko inaingia damuni kwake kwa mara ya kwanza, hatofautiani na mwanamke anayetolewa bi.ki.ra. Full maumivu
 
Ni vizuri ikakumbukwa kuwa miongozo inayotekelezwa na mashirika inapata idhini kutoka kwa Wizara inayosimamia shirika hilo. Hivyo inawezekana Bodi inalaumiwa ki makosa kwani hawawezi kujiamulia kubadili utaratibu bila kuihusisha wizara. Mimi najiuliza, kwanini mwaka huu? mbona miaka iliyotangulia mikopo ilitolewa vizuri. Hili linapaswa kuchunguzwa vizuri, kuliko kulaumu bila kujua taratibu zilivyo.
bodi wamepewa maelekezo ya kutekeleza. bodi wao wako kama misukule, wanaambiwa fanya hiki na wanafanya. hii nchi kuna daktari mmoja aliyemteua prefesa mmoja, wote wawil kwapamoja wanajiona ndio wenye akili kubwa kuliko wengine. vi.la.za kabisa hao
 
Wote wawili wizara na bodi wanahusika. Tumemuona na kumsikia Eng. Mhe. S . Manyanya akizungumzia utaratibu utakaofuatwa na HESLB na bodi imetekeleza kutumia formular mbovu mbovu. Nafikiri umefika wakati uwepo wa bodi utathiminiwe upya na njia nyingine za kutoa mikopo zitafutwe. Bodi yenyewe ni mzigo tosha. Maamuzi haya sijui yalihusisha wadau wangapi na moja kwa moja yamepingana na matamko yaliyotolewa wakati wa kuomba kura.
Baada ya kubadili alama za ufaulu na vigezo vya kudahiliwa nilitegemea vijana wasingekumbana na kadhia hii. Heads should roll over this!!!!!!
wewe una akili zaidi ya yule profesa ambaye uprofesa wake hauna faida. kazi yake kukurupuka kwa kelele za kuonja utam wa siasa.
 
Hapa shida ipo hili swala ni kama kitendawili kisicho na jibu
Sahivi wanatupiana mpira tu asa hatujui wapi kuna shida
 
Tatizo si bodi wala wizara! Tatizo nadhani liko juu ya wote hao! Na bodi ni mbuzi tu wa kafara!
 
Wana JF.
Kutokana na wanafunzi wengi kufanyiwa zengwe ili wakose mkopo kitu ambacho hakijawahi kutokea kwa miaka ya nyuma vigezo kama madaraja ya kufaulu, mwanafunzi kusoma shule binafsi hiyo imeacha wanafunzi wengi ,kwa kuwa nchi inahitaji wanasayansi wengi wamefaulu wengine wametokea shule binafsi, vigezo vya mwaka huu vilivyowekwa na bodi kwa kushirikiana na wizara ya elimu ni dhahiri wana mpango wa kuwanyima mkopo wanafunzi waliotumia bongo zao kufaulu na Taifa litaendelea kulalamika uhaba wa wanasayansi kumbe Wizara ndio inakosea kwa kuweka masharti ambayo hayana mantiki kabisa, watoto wengi wa masikini wamekwama kabisa, kwann serikali isichukue fedha za kodi walizokwepa wawekezaji wa madini zaidi ya bilioni 500 ili wapewe wanafunzi badala ya kuweka masharti ambayo hayakuwepo kabisa, Aidha, kwa kushindwa ubunifu huo Mh Rais wafukuze waziri wa elimu mh Joyce Ndalichako na Mkurugenzi wa bodi ya mikopo ya wanafunzi ndg Badru kwani hao ndio wanakuharibia.
 
Kwani waziri wa elimi ndio anatoa hizo fedha?
Mkuregenzi kapewa hizo fedha alafu kakataa kuzitoa au??.....ebu fanya utafiti shida iko wapi kabla ujabebesha watu mizigo ya lawama.
 
Msema kweli Mpenzi wa Mungu Hao Siyo Muhimu kwao Kwani watoto wao Wanasoma awana Wasi wasi......

Sisi tutetemeke wenyewe tukishindwa basi.
 
Wale wanapewa oda tu fanyen hiv wala hawana makosa. N fanyen iv, fanya vile wanapelekeshwa 2 kma watoto
 
Kwani waziri wa elimi ndio anatoa hizo fedha?
Mkuregenzi kapewa hizo fedha alafu kakataa kuzitoa au??.....ebu fanya utafiti shida iko wapi kabla ujabebesha watu mizigo ya lawama.
Tatizo lipo bodi kwa maelekezo ya waziri so wote waondoke haina namna wanawatesa na kuwabebesha wananchi mizigo nchi inaingia wapi sasa kama inakataza watu wasisome?
 
Waziri na Mkurugenzi wa Mikopo naona kama ni wahanga tu wa hili swala.
Issue hapa ni HAZINA..!!
Hazina ndio wanao allocate pesa.
Rais lazima amng'oe Dkt Mpango.
Unalipia mindege ambayo hata wapakiaji hawapo badala ya kuwapatia watoto wetu mikopo ya Elimu??
Shame!!
 
nakubaliana na wewe kabisa mkuu
 
Wana JF.
Kutokana na wanafunzi wengi kufanyiwa zengwe ili wakose mkopo kitu ambacho hakijawahi kutokea kwa miaka ya nyuma vigezo kama madaraja ya kufaulu, mwanafunzi kusoma shule binafsi hiyo imeacha wanafunzi wengi ,kwa kuwa nchi inahitaji wanasayansi wengi wamefaulu wengine wametokea shule binafsi, vigezo vya mwaka huu vilivyowekwa na bodi kwa kushirikiana na wizara ya elimu ni dhahiri wana mpango wa kuwanyima mkopo wanafunzi waliotumia bongo zao kufaulu na Taifa litaendelea kulalamika uhaba wa wanasayansi kumbe Wizara ndio inakosea kwa kuweka masharti ambayo hayana mantiki kabisa, watoto wengi wa masikini wamekwama kabisa, kwann serikali isichukue fedha za kodi walizokwepa wawekezaji wa madini zaidi ya bilioni 500 ili wapewe wanafunzi badala ya kuweka masharti ambayo hayakuwepo kabisa, Aidha, kwa kushindwa ubunifu huo Mh Rais wafukuze waziri wa elimu mh Joyce Ndalichako na Mkurugenzi wa bodi ya mikopo ya wanafunzi ndg Badru kwani hao ndio wanakuharibia.

Nchi isipoendeshwa kwa kufuata sheria matatizo mengi yatajitokeza. Nchi hii ni maskini lakini resources ni nyingi. Kama nchi kulingana na nafasi yetu kwenye elimu ukitulinganisha na nchi jirani bado hatujafikia mahala pakuwabagua wanafunzi kutokana na ufaulu wao. Hii itawaumiza watoto wa maskini ambao ni zao la st. Kayumba.
 
Back
Top Bottom