Tatizo lolote la PC/device

Inakataaje?
haina driver ya wifi ,mwazo ilikuwa ina window 8.1 ilikuwa ipo okay,nikaitoa nikaweka window 10 ikaanza kusumbua driver ya wifi,nikijaribu kufanya update ku install wifi driver haiji,nikajaribu manual intallation pia ina install lakin haionekani kama ime install .#the issue is no wifi driver in my pc, natumia usb tethering ku aacess network.

Inakataaje?
 
Em jaribu kutuma screenshot ya hiyo error Kama inawezekana mkuu.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
error haina mkuu,ila the issue haina wifi driver ,nimejaribu ku update driver zote lakin ya wifi haiji,na pia nimejaribu ku intall manual wifi driver lakin haionekani baada ya ku install.Mwanzo computer ilikuwa inatumia window 8.1 kila kitu kilikuwa okay baada ya kuweka window 10 wifi driver ilikuwa haipo hata nikijaribu ku install lakin haionekan.
 
mkuu unaweza kutaja ni aina gani ya pc na model gani?
 
Nimeflash Itel A31 kwa kuformat full flash. Nilifanya full back up lakini nimeisahau kwenye desktop huko Dar. Kwa sasa nipo mbali na sina njia ya kupata back up ya Nvram maana simu imegoma kabisa kukamata network pamoja na kujaribu njia nyingi.
Naomba msaada mwenye Nvram file au back up ya full stock Rom ya simu ya Itel A31 inayofanya kazi. Itel A31 (A31-I803-7.0-OP-V026-20170717),nitashukuru sana wakuu.
 
Kwema jamani??
PC yangu ni probook 6555b niliizima kuamka asubuhi kuwasha aiwaki fan hazunguki ila vinawaka tu vitaaa kioo akionyeshi chochote.
Ila pia kuna kama vikufuli viwili vinawaka vinazima
View attachment 1678447
 
Nilitoa hdd kwenye desktop ya dell na kuiweka kwenye desktop ya hp, kisa cha kutoa hdd kwenye dell ni kwamba ilikuja na Ubuntu so nilipokua napiga window ikawa inagoma hvy nikatoa hdd na kuweka kwenye hp ikakubali tatizo nilipoweka tena kwenye dell basi ikagoma kabisa kusoma sijajua tatizo nini .
20210111_132403.jpeg
 
PC aina ya Lenovo tatzo lake baadhi y keyboard button key znaacha kufanya kazi karibia kila siku nakutana n button mojawapo ambayo haifanyi kazi. Naomba Msaada mkuu nifanye nini maana keyboard button key zote zinakaribia kua useless.
 
Pc VGA na TV ni HDMI nilinunua connector (adaptor)sijui converter lakin wire wa kuunganisha na mwanzo ilikua inaonesha fresh, juzi nimeconnect sion notification yeyote, sasa nashindwa elewa tatizo liko wapi. Nahitaj msaada
 
PC aina ya Lenovo tatzo lake baadhi y keyboard button key znaacha kufanya kazi karibia kila siku nakutana n button mojawapo ambayo haifanyi kazi. Naomba Msaada mkuu nifanye nini maana keyboard button key zote zinakaribia kua useless.
Tatizo la keyboard kuacha kuandika baadhi ya key basi ndio mwanzo WA keyboard kuwa katika mwisho WA muda wake (kufa) cha kufanya tafuta fundi katika eneo ulipo kisha ubadilishe mkuu.
 
Kwema jamani??
PC yangu ni probook 6555b niliizima kuamka asubuhi kuwasha aiwaki fan hazunguki ila vinawaka tu vitaaa kioo akionyeshi chochote.
Ila pia kuna kama vikufuli viwili vinawaka vinazima
View attachment 1678447
Mkuu Kama ujafanikiwa bado hapo kuna possibility ya vitu viwili kuwa na tatizo moja ni power problem au bios failed

Njia ya Kwanza Kama Una uzoefu na ufundi kidogo, Toa battery fungua sehem ya Ram na uzitoe pia na ufungue ndani utoe card ya wireless kisha bonyeza button ya kuwasha na kuzima Kwa muda WA sekunde 40 baada ya hapo Rudisha kila kitu kisha ujaribu kuwasha pc yako tena

Njia ya pili, kureset bios ya pc yako ambayo unafungua pc yako kisha unatafuta kwenye CMOS battery kisha unaitoa Kwa sekunde kazaa Tu kisha unarudisha baada ya hapo unajaribu kuwasha tena uone Kama itarud vizur

Hopefully zitakusaidia.
 
Habari wakuu PC yangu nikiweka ssd inaandika hivi msaada plz kwa wenye uwelewa na hili
IMG_20210125_194237_8.jpg
IMG_20210125_194225_1.jpg
 
Mi PC yangu ni Windows 10 nliwahi set slide picha ktk desplay when screen tun off lakini cha kushangaza imegomaa kabisa kutoka hiyo slide
 
Mi PC yangu ni Windows 10 nliwahi set slide picha ktk desplay when screen tun off lakini cha kushangaza imegomaa kabisa kutoka hiyo slide
Mkuu sijakuelewa vizur tatizo lako, labda ujaribu kulielezea vizur.
 
Mkuu sijakuelewa vizur tatizo lako, labda ujaribu kulielezea vizur.
Kaka nliwahi set picha ziwe zina slide pindi Comp ili kaa haido muda mrefu.
Chakushangaza nikitaka picha Zi siendele Ku slide Com ina nambia ni update window japo Nika update bado zikaendelea kuslide.

Mpaka nikafuta picha zote lakini bado screen ikiwa haido tuu slide za picha inaendeleaa.
Natumia Window ten
 
mayai haya, housing zake za moto maana asilimia nyingi zimeshafunuka kutokana na hinges zake na kava la juu kuwa laini mno
ila unaweza ifix isipate tatizo tena na ukapiga sticker vizur isionekane

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mie nina Lenovo ideapad z580 imevunjika maeneo hayo hinge moja imevunjika pia upande wa cover la juu na chini panaposhika hinge pameharibika mno natafuta housing au namna ya kuweza kurepair hiyo issue naomba kama sio wewe basi recommend fundi unaemwaminia.
 
Back
Top Bottom