Mkuu hapo kwenye command umelist disk imekuja disk 1 then u kachagua disk 0.
Most of time HDD ikiwa na windows kutumia windows kusolve issue zake inazingua, kama una flash pembeni jaribu kutumia bootable Linux distro then format ama fanya unachotaka kufanya kutumia Linux.