Nimekuelewa Vyema Mkuu Ngoja Nifanye Kama Ulivyoelekeza Kisha Nitaleta Mrejeshohapo kama unasema umetumia battery mbili na bado tatizo lipo
kulingana na maelekezo kwamba hata pasipo na battery bado inaonesha 255
then hapo tatizo linaweza kuwa system yako unayotumia, ili kujiridhisha rejea tatizo lako lilianza lini je ni kabla ya kuweka hiyo windows lilikuwepo au baada ya kuweka windows
kama tatizo siyo system bhas inaweza kuwa hardware, ambapo kwenye motherboard kuna kitu kinaitwa SIO chip (super input output chip) hii inahusika sana na kuwasiliana na battery la computer, hii ndio inayocontrol battery percentages, ss panaweza kuwa na shida hapo kati kati
ila hiyo ni hatua ya mwisho kabisa na ni rare sana kutokea
rudia kufuatilia haya kwanza kabla hujawaza hayo ya SIO
-run pc katika safe mode
-update windows complete
-run linux os kwenye mashine yako
-badirisha battery zaid ya hizo
fanya hayo kisha tupe mrejesho tuone tunasaidiaje
Sent using Jamii Forums mobile app
unapatikana mkoa gani
kukimbilia kubadirisha motherboard kabla ya kufanya general diagnosis ya board nzima inaweza kukugharimu sana
nimeshapokea kesi nyingi unakuta ni issue tuu ya ceramic capacitor imeungua ila mtu anashindwa kuispot kutokana na kutokuwa na general knowledge ya power sequence ya laptop
taja aina exactly ya model yako kama utakuwa umefikia hatua ya mwisho ya kuhitaj motherboard
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi yangu lenovo G580 ilinisumbua hivyo hivyo kwa muda mrefu lakini yenyewe ilikuwa inawaka na inapiga kazi lkn kuna muda inapata moto inascratch then inazima..nikaamua zangu kuagizia motherboard mtandaoni juzi ilikuja nimebadilisha now inapiga kazi bila shida!!Nimejaribu mkuu kwa siku kadhaa imegoma kabisa. Ukiiwasha ukicheki GPU ukiigusa inakuwa inapata moto, inakuwa inaongezeka tu joto.
Katika maongezi na mdau mmoja kitaa, kaniambia hapo hamna namna ni kubadili body ya ndani (Motherboard).
So kama kuna mtu ana Lenovo Thinkpad may be mbovu ila body yake ya ndani nzima, please anicheki tufanye manuva.
Santee.
Sent using Jamii Forums mobile app
SettingMkuu PC Yangu Dell Kasa yake haifanyi baada ya Jamaa niliyempelekea Kupiga Window Chini na sasa natumia Window 8 ila haifanyi kazi mpaka natumia Mouse. Msaada tafadhali kama tatizo linatatulika!
tumia KMSpico ingia google i download kutoka kweny official website yao, password ikiomba kama bado hawajabadili basi ni 1234Salaam wakuu, mie shida yangu ni kuactivate microsoft office 2010 katika pc yangu. Sina product keys. Msaada tafadhali.
Setting zote umezifanyaPc aina Toshiba R930 inagoma kuconect hdmi to flat sijajua shida natumia window 10 pro
Sent using Jamii Forums mobile app
Disconnect kila kitu acha dakika kama 10 reconnect kisha washawakuu nimekutana na hii changamoto msaada wenuView attachment 1449258
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada maelezo mkuu.