The same ishue with my dell yaani W10 inashida imeniulia hard disk mbili za my laptop, nakupoteza taarifa kibao!Mimi natumia dell latitude E6410 siku zote nilikuwa natumia window 7,kuna jamaa kaniwekea window 10 wiki iliyopita ila nikatumia kama siku 2 baada ya hapo kila nikiiwasha inaishia ile log ya window tu, nikatafuta mtu mwingine akaniwekea window 10 tena, nikatumia siku 2 kisha tatizo likawa lile lile nini tatizo hapo, ram 4gb/rom 500gb
Sent using Jamii Forums mobile app
pc yangu ilikata ghafla sauti lakin nikawa natumia airphone vzr tu..lakin limekuja tatzo jingine ina koroma sama uku nikiwa nasikilizia aitphone...msaada please
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu! Nina changamoto 2 katika pc zangu mbili.Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.
Karibuni sana wakuu
Pirate
kama unaweza jaribu kuangalia kama driver za hiyo moderm zinaonekana kwanza??
Shida n graphicsHabari wakuu! Nina changamoto 2 katika pc zangu mbili.
1. Nina laptop aina ya Acer E5, tatizo lake ni kwa upande wa sauti yaani nikiiwasha, sauti haitotoka kabisa japo nikicheki driver za sauti zipo sawa...sauti inakuja kutoka endapo nikirestart windows. Nimejaribu kuupdate bios ila still hamna mabadiliko, then nimeiupgrade windows tokea Windows 8.1 pro kuja 8.1 single language, then juzi nimeiupgrade kuja windows 10 pro. Ila still hamna mabadiliko.
2. Desktop Pc aina ya Wipro inashida ambayo kila nikiiwasha, taa ya kuwakia inakuwa inablink huku feni ya processor inazunguka na kuacha alternately bila ya kuwaka kabisa. Nimebadili power supply, ram, hard disk pamoja na processor; still hamna mabadiliko na motherboard inaindicate kuwa ni nzima kwasababu ina LED ndani ambayo inawaka endapo kama ipo sawa.
Msaada tafadhali!
Asante.
Ok. Ngoja nitajaribu
mkuu natumia lenovo T420 Core i5 Thinkpad. Je naweza ku upgrade graphic card kutoka hii ya sasa ya 3000???Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.
Karibuni sana wakuu
Pirate
Naomba nifundishwe kinsi ya re-install Windows 10.Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.
Karibuni sana wakuu
Pirate
Ilikuja na windows gani.Je umeifanyia installation ya windows mpya.
Habari,
Laptop wakati inachajiwa inaleta meseji hii " Plugged in, not charging"
Inashindwa Kuchaji betri, tatizo linaweza Kuwa nini ?
Nimejaribu Kutumia Charger tofauti wapi, nimeweka betri Mpya wapi, tatizo bado.
Msaada Wenu tafadhari ..
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUO
Fany update ya software zoteBaada ya kupiga window mshale umepotea mazima kwenye laptop aina ya lenovo [emoji854][emoji854], ila nikichomeka mouse naona mshale unarejea , mwenye solution anisaidie . Ili nisiwe natumia mouse
Sent using Jamii Forums mobile app