Simple tu ni betri imekufa mkuu...jaribu kutoa berries then weka chaji I was he... Ukiona imewaka vizuri na ile sehem ya chaj in a display kidogo ishara ya chaji, jua betri limepoteza ubora.... Costly ya betri za HP nadhani haizidi 80 mimi last term nlinunua used 48Jaman msaada nna hp yangu sio ya muda sana ..ina kama mwaka na miez ni mpya ..
Ila juzi hapa nlitaka kuupdate window 10...basi nkaiacha usiku ikiwa charge maana betri ilikuwa imeisha kabisa..ila nashangaa asbuh kuangalia imemaliza kuupdate kila kitu ila ...betri halijai wala haiingizi charge ..inaandika 0%charge.not charging...na nkitoa charger inazima kabisa ...
Msaada jaman..
Anatatizo kama langu. Natumia window 10Unatumia windows gani?
nimepiga window 7 ultmte ila kila nikiingiza app nikifungua znaandka un able to start correctly/error [0xc0000005] je inasababishwa na nn? je nijins gani ya ku solve hili tatizo?Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Pc yangu nikiiwasha inatoa mwanga mara moja tu kuonesha ile logo ya HP then haioneshi kitu kabisa ila wakati inatoa huo mwanga kuna ka sauti fulani hutoka kwenye screen
Pia nikimulika kioo na tochi naona maandishi kwa mbali
Solution please guys
nimepiga window 7 ultmte ila kila nikiingiza app nikifungua znaandka un able to start correctly/error [0xc0000005] je inasababishwa na nn? je nijins gani ya ku solve hili tatizo?
Mkuu pc yangu ni hp nikiwasha feni inazunguka inapiga kelele kma mvumo flani then inakuwa kma inatoa hewa ya moto then pc inakuwa nzito unaweza fungua kitu ina load muda
Jaman msaada nna hp yangu sio ya muda sana ..ina kama mwaka na miez ni mpya ..
Ila juzi hapa nlitaka kuupdate window 10...basi nkaiacha usiku ikiwa charge maana betri ilikuwa imeisha kabisa..ila nashangaa asbuh kuangalia imemaliza kuupdate kila kitu ila ...betri halijai wala haiingizi charge ..inaandika 0%charge.not charging...na nkitoa charger inazima kabisa ...
Msaada jaman..
Faza sina sana ufahamu wa mambo hayo ila niki-click kwenye speaker inaonesha ipo enabled ila sielew nini tatizo mkuuUmechek drivers Kama zipo au zime-corrupt ?
Faza sina sana ufahamu wa mambo hayo ila niki-click kwenye speaker inaonesha ipo enabled ila sielew nini tatizo mkuu
Vp na kwenye hizo drivers kama hazipo nawekaje na kama zime-corrupt ninazi-fix vp
SHUKRAN
Habarini wakuu mimi nna dell desktpo shida yangu nataka kutumia display mbili kwenye desktop je nafanyaje msaada?
Hiyo disc E ina ukubwa gan?
Na unaitumia kwa matumiz gani?
Hii hdd mwanzo ilikuwa na window ten so baada yakuitoa nakuiweka kwenyee laptops nyngne.ndo nikawaka window 7 '' kisha nika update driver kupitia app ya driver pack onlineUlishawahi ku-update hiyo windows?,
Kama unaweza fanya ku-restore kutokea ulivyofanya installation Mara ya kwanza