Tatizo lolote la PC/device

Same problem na kwangu, sema mi flash inasoma ila ukichomeka phone ili kuhamisha data inachaji tu ...window 8
Ingia BIOS setting udisable 3.0 USB au weka AUTO mambo yatakuwa poa
 
WiFi ya smu kwenye PC haina nguvu, nin tatzo yan haifungui page na ikifungua kwa kusua sua sana
 
JAMANI MSAADA NANI ANAJUA KUTOA VIRUSI FLAN WANA CHANGE PROGRAM ZOTE ZINAKUA ZERO BYTE? WANANISUMBUA SANA MANA WANAKULA PROGRAM ZOTE ZILIZOPO KWENYE COMPUTER!!!
 
Habari za jioni wana jukwaa, ni heshima kubwa kwangu kuwa sehemu ya jukwaa hili. Jioni ya leo naomba msaada wa ku-unlock network locked Huawei iweze kusoma line ya mtandao wowote.
 

Attachments

  • WP_20181026_08_33_06_Pro.jpg
    144.9 KB · Views: 52
  • WP_20181026_08_35_08_Pro.jpg
    88.5 KB · Views: 48
Tecno K9 ilifanyiwa reset sasa kila nikitaka kuiwasha inadai google acc ile ya mwanzo na hii simu ilinunuliwa mkono kwa mtu so alikuwa akitumia google acc ya jamaa aliyemuuzia.

Mnanisaidiaje hapa?
 
Tecno K9 ilifanyiwa reset sasa kila nikitaka kuiwasha inadai google acc ile ya mwanzo na hii simu ilinunuliwa mkono kwa mtu so alikuwa akitumia google acc ya jamaa aliyemuuzia.

Mnanisaidiaje hapa?
Delete hiyo account uweke yako
 
Pc yangu adaptor inawaka ila ukichomeka kwenye pc inazima kwa maana kwamba haiingizi chaji. Tatizo nnna.
 
Natumia HUAWEI Y5II(2017), haifungui picha au attachment zinazotumwa jamii forum natakiwa kuwa na application gani?
 
Pc yangu adaptor inawaka ila ukichomeka kwenye pc inazima kwa maana kwamba haiingizi chaji. Tatizo nnna.


Tatizo kubwa ni huwa shoti, tafuta Fundi mzur akurekebishie kutoa shoti
 
Hi
Pc ina usb port 3
Hp pavilion 15
Port moja haifanyi
Kazi
All drivers zake ziko poa
Solution yake hapo nini?
Kuna uwezekano wa kubadili port?
 
Hi
Pc ina usb port 3
Hp pavilion 15
Port moja haifanyi
Kazi
All drivers zake ziko poa
Solution yake hapo nini?
Kuna uwezekano wa kubadili port?

Uwezekano wa kubadili port upo, lakin source ya ilo tatizo cjajua hasa n nn? Labda sema ilo tatizo limekuja na hiyo pc au limeanza badae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…