Binadam tunatofautiana linapokuja suala la mke au mume, wapo wanaopendelea mabikra na wengine wanapendelea wasio kwa maana wanakuwa wazoefu katika mapenzi huyo kaka atakuwa ni miongoni wanaopenda wasio bikra kwa interest zake.
watu wanachekesha sana humu ndani,kwani wanawake wa siku hizi walizaliwa hawana bikraa??? bikra walikuwa nazo sema wewe ndo hujawahi kupata kila unayempata wenzio washaitoa kitambooo!!!