Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 496
Habari wakuu. Sina muda tangia niinunue hii laptop lakini hii tabia ya kuonyesha mawimbi hadi mida mwingine inazima screen.je jinsi gani nitasolve hilo tatxo wakuu
Graphic ziko latest kabisa lakini mawimbi hadi Mda mwingine sija play video na yakitokea tu ujue pc lazma inazima mkuu.Update graphic drivers boss