Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,960
Na nikueleze uelewe, hao unawaona hawakufai baada ya muda mfupi, ni kwa sababu hawana vigezo unavyovitaka, kwa asilimia mia. Inawezekana wanafikia 90%. Kwa taarifa yako mwenye 100% ya vigezo uvitakavyo ni wewe na Mungu pekee.. Hivyo labda ujioe mwenyewe au ukamuowe Mungu....Najua humu ndani kuna watu wa aina nyingi sana.wapo wanaoweza kunisaidia tatizo langu.na wapo wanaptweza kudharau na kunikebeh
Umri wangu ni miaka 29 sasa.kila nikipata mwanamke nikikaa naye sana ni miezi miwili.naanza kumwona hanifai.na sio kwamba nado nao hapana.tukiwa tu ktk mahusiano.
JE TATIZO LANGU NO NINI HAPO?
Kabla sijajibu swali lako, naomba nijibu maswali yangu haya ya kipuuzi labda yanaweza kunipa mwanga kuhisi tatizo ulilonalo
- Unamaanisha nini unaposema "unawaona hawafai"? Ni kivipi? Kitabia, kimuonekano? au kwa namna ipi?
- Hao wasichana unao wapata huwa unawapata kwa kutumia vigezo vyako mwenyewe? na je huwa wanavifikia hivyo vigezo?
- Umeshawahi kuota ndoto za ajabu ajabu usiku?
Auntie Bilal ndoa yake lini? Nilikusoma kule celebrity nikawa na hamu sana ya details za umbea ule. LOL
1. Huwa unawaacha bila kuwaambia tabia zisizokupendeza..?? Na je huwa unawaambia mapema kuwa vitu gani huvipendi na vipi unavipenda..?? Je na wewe tabia yako ikoje..??? Yaani wao wanaiona kuwa ni nzuri au mbaya..???1-Mara nyingi ni kitabia
2-Wrngine wanafokia vigezo
3-cjawai ota kwakweli
Aiseee, ninaifuatilia kwa karibu hiyo story shosti, na huyo Sauda is she okay upstairs au wameamua kutengeneza show tu.Ndoa yake na Sauda ni October 25, hapa nilipo mwili wote unaniwasha kwa hiyo siku.
Unajua nini Kaunga, Bilali tumecheza nae tangu ana miaka 2 mpaka huku ukubwani namjua A to Z kuwa ni Mchicha-Pori, sasa hilo la kutaka kuoa ndo kidogo silielewi, japo kwenye hyo sherehe ya kumvisha pete Sauda nilienda, si unajua tena Wa Kinondoni hatunaga hiyana.
Nitakupa umbea mamie,we subiri tu.
babukijana u wapi?
Tatizo lako ni hili :"WEWE UKO ANALOGIA---yaani uko CCM" na wenzako wako "DIGITALY ---yaani CHADEMA " .
Na nikueleze uelewe, hao unawaona hawakufai baada ya muda mfupi, ni kwa sababu hawana vigezo unavyovitaka, kwa asilimia mia. Inawezekana wanafikia 90%. Kwa taarifa yako mwenye 100% ya vigezo uvitakavyo ni wewe na Mungu pekee.. Hivyo labda ujioe mwenyewe au ukamuowe Mungu....
Mungu pekee ndo kakamilika... kwa hiyo sikuwa na mwingine aliyekamilika wa kumwelezea.... wewe na yeye mtakuwa mmepata ujumbe.Jamani haya maneno mengine wengine mbona mwakosa hekima? kwani hakuna neno lingine la kusema mpaka umwambie ....AKAMUOE MUNGU?[/B][/FONT]
1. Huwa unawaacha bila kuwaambia tabia zisizokupendeza..?? Na je huwa unawaambia mapema kuwa vitu gani huvipendi na vipi unavipenda..?? Je na wewe tabia yako ikoje..??? Yaani wao wanaiona kuwa ni nzuri au mbaya..???
2. Sasa kama wengi wanafikia vigezo, kwanini hao ''wengi'' tena unawaona hawafai,,??
1-Mara nyingi ni kitabia
2-Wrngine wanafokia vigezo
3-cjawai ota kwakweli
Aiseee, ninaifuatilia kwa karibu hiyo story shosti, na huyo Sauda is she okay upstairs au wameamua kutengeneza show tu.
are you too close to your mom and sisters?
Nna hamu ya kusikia zaidi kutoka kwako.....!!!!
kwa nini?
kwa hicho ulichoandika, napenda kujua kuna uhusiano gani kati ya kuwa too close na dada au mama
na kumuona mupenzi hafai.....
inawezekana kabisa, wavulana walio karibu zaidi na mama zao au sistas, mama zao wanaweza wakawainfluence hata katika love relationship kwa kuwachagulia wapenzi. kila unayekuwa naye mama au dada anakwambia hakufai. Na wewe mvulana kwa kuwa akili zako zinakuwa kwenye vyupi za dada zako unakubaliana na upuuzi wa dada zako na hasa ikiwa dada zako/mama have had failed relationships/marriages.