Vipi uliemgegeda hajakustukia. Hajasanuka kama una kigegedeo hafifu😃nazani nimwezi wa9 mwishoni
Aisee hapo inabidi uanze mazoezi na maji unywe ya kutosha. Laa sivyo gegedeo itayayuka hiyohapana mkuu hii kitu imeanza juzi tu hapa
Yes mambo yatakua mazuri tuu usihofie pia inabidi ujiamini maana hofu ndo inaumiza yaani ukishajijengea dhana ya kwamba gegedo inakonda basi itakonda zaidi ya hapo. Wewe relax tu then fanya hayo nilokushauri na waliyokushauri wadau wengine mambo yatakua safii usiende kwa mganga bosskwaiyo ntakuwa kwahali kama yakawaida mkuu ?
ok pwYes mambo yatakua mazuri tuu usihofie pia inabidi ujiamini maana hofu ndo inaumiza yaani ukishajijengea dhana ya kwamba gegedo inakonda basi itakonda zaidi ya hapo. Wewe relax tu then fanya hayo nilokushauri na waliyokushauri wadau wengine mambo yatakua safii usiende kwa mganga boss